» » Video: Mtazame Chidi Benz alipokuwa akitoka rehab

Tumemuona Chidi Benz zaidi kwa picha za kuvutia alizopigwa kwenye studio za Wasafi, lakini hatujaona video ya siku alivyotoka kwenye kituo cha rehab cha Life and Hope cha Bagamoyo.

13423409_851598878307369_755490870_n

Kupitia video hii ya Perfecto TV unaweza kuona akihojiwa na mtangazaji wa kipindi cha Harakati, Kalapina baada tu ya kutoka. Tazama hapo chini.

About toooo yoooo

Hi there! I am Hung Duy and I am a true enthusiast in the areas of SEO and web design. In my personal life I spend time on photography, mountain climbing, snorkeling and dirt bike riding.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply