Ilikua jana asubuhi huko Ufaransa kwenye michuano ya EURO 2016 saa kadhaa kabla ya Ureno kukipiga na Hungary uwanjani, Ronaldo alipoulizwa kuhusu utayari wake kwenye hiyo game hakujibu chochote badala yake akaichukua microphone ya Mwandishi na kuitupa kwenye maji.
Ronaldo ambaye haja fanya vizuri katika michuniano hiyo amekosa penalti na nafasi nyingi katika mechi dhidi ya Austria ambapo walitoka sare ya 0-0 na kuiweka timu hiyo (Austria) kileleni katika kundi F
Hata hivyo, ushindi wa leo inatarajiwa kuiweka Ureno katika nafasi ya kwanza kwenye kundi lao na pointi 5 nyuma ya Hungary ambao watakuwa na pointi 4.
No comments: